Wazazi watakiwa kuwafuatilia watoto wao


WAZAZI wametakiwa kufuatilia maendeleo ya watoto wao katika vyuo na kwengineko na kuachana na tabia ya kuwaachia walimu pekee ili kurahisisha mafunzo ya watoto wao. Continue reading “Wazazi watakiwa kuwafuatilia watoto wao”

Advertisements

Waislam watakiwa kuachana na vyombo vya habari vinavyochochea zinaa.


Waislam wametakiwa kujiepusha na vyombo vya habari vinavyochangia kuenea kwa zinaa.
Hayo yamesemwa katika Ukhty Ramla Abdulrahman alipokuwa akitoa mada juu ya zinaa na madhara yake katika shura ya walimu wanawake wa madrasa za Qur-an iliyofanyika Disemba 5 katika ukumbi wa Al Madrasat Falaah Kijangwani. Continue reading “Waislam watakiwa kuachana na vyombo vya habari vinavyochochea zinaa.”

“Vijana zidisheni mapenzi kwa Mola wenu” UKUEM


Vijana wametakiwa kuzidisha mapenzi kwa mola wao kwa kufuata maamrisho ya dini yao na kuacha makatazo.
Hayo ameyasema Mjumbe wa Kamati ya Uongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Kiislam Uchumi Elimu na Maendeleo Wanawake Ukhty Fatma Salim Saleh alipokuwa akifunga semina ya siku tano ya mafunzo ya Kiislam kwa wanafunzi wanawake waliomaliza kidatu cha nne huko katika Chuo cha Wanawake cha Malezi ya Kiislam Muslim Women Academy (MUWA) yaliyofanyika Novemba 7 Chukwani. Continue reading ““Vijana zidisheni mapenzi kwa Mola wenu” UKUEM”