PICHA


WANWAKE WA WAKIWA KATIKA KONGAMANO LA AKINA MAMA WA KIISLAM KATIKA UKUMBI WA SAATENI ZANZIBAR

Wanawake wa Kiislam wakiwa katika Kongamano la akina Mama wa Kiislam katika ukumbi wa Skuli ya Maandalizi ya Saateni.

Karibu katika ukurasa huu wa picha. Katika ukurasa huu utaweza kuona shughuli mbali mbali za wanawake wa Kiislam za Zanzibar na kwengineko Duniani. Tafadhali bonyeza hapa ili uweze kuingia kwenye ukurasa wenyewe.

3 thoughts on “PICHA

 1. Hassan March 17, 2012 at 11:03 am Reply

  Assalaam alaykum

  Hii blog ni nzuri kwani inaelimisha mengi. Lakini imenisikitisha kuona ya kuwa tangu mwaka juzi haijaendeezwa tena. Ninachoona ni habari za october, 2010 kuja nyuma zaidi, sijui kimetokea nini hata ikawa hivi?

  Nadhani viongozi munaweza kutusaidia majibu.
  Wabillah tawfiq.

  • Islamic women June 13, 2012 at 11:50 am Reply

   Asalam aleykum, ni kweli nisesita muda mrefu kuweka habari nyengine kutokana na kuzongwa na mambo, lakini Ishaallah nitaendela kuweka habari mpya.
   Ahsante endelea kufaidika na Mwanamke wa Kiislam.

 2. zahra September 6, 2012 at 10:10 am Reply

  mnaweza kututumia harakati zenu katika email yetu, nasi ni kikundi cha kina mama wa kiislamu kinachoitwa zahra

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: