TAFSIRI YA QUR-AN TUKUFU


Wanawake wa Kiislam wakisoma Qur-an tukufu kwa mwangaza wa mshumaa.

Wanawake wa Kiislam wakisoma Qur-an tukufu kwa mwangaza wa mshumaa.

Miongoni mwa neema kubwa zilizowachwa na Maulamaa wakubwa Zanzibar ni Tafsiri ya Qur-an iliyoachwa na Al Murhum Sheikh Ali Muhsin Barwan. Pamoja na hayo pia alishiriki katika mambo mbali mbali ya kuipeleka mbele dini ya Allah ambayo ni dini ya Kiislam. Kwa neema hiyo ya tafsiri ya Qur-an tukufu  tafadhali bonyeza hapa ili uweze kuingia kwenye ukurasa wenyewe.

5 thoughts on “TAFSIRI YA QUR-AN TUKUFU

 1. shamsa salim April 29, 2011 at 2:30 pm Reply

  MASHALLAH. WEBSITE NZURI SANA SANA. JAZAKUMULLAHU KHAIR.

 2. Muh'd Kh Said October 4, 2011 at 2:59 pm Reply

  Tafsiri ya quran

 3. kamiraki February 9, 2012 at 4:49 pm Reply

  Assalaa alaykum
  ndugu zangu katika imani kuna kitabu kizuri kinachohusu fatwa za maswala mbalimbali ya wanawake ningependa tushee wote
  http://www.jabalhira.com/details.php?id=191

 4. ALLY June 26, 2012 at 1:49 pm Reply

  MASHALLAH

 5. Ally abubakar June 30, 2012 at 11:56 am Reply

  Nawausia wanawake wote wa kiislam wawe mstari wa mbele ktk kuisoma na kuifaham dini ya Allah kwan wao ndio walez ktk jamii nyingi za waislam

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: